Samsung S4 kwa bei chee

Samsung S4 kwa bei chee

Yeyeli

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
40
Reaction score
5
Samsang S4 inauzwa kwa bei ya laki tano na nusu ni original,kama unaitaka wasiliana nami 0659404548

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Samsang S4 inauzwa kwa bei ya laki tano na nusu ni original,kama unaitaka wasiliana nami 0659404548

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

nilitaka Kushaaaangaaaa!! ila Mbona Hzo Clone Kuna Wengine Wanauza Cheap Zaidi
 
Chukua laki nne km vp nipigie 0713293749
 
Ni "original" kweli? Unatambua bei ya original ww. Kama ni orginal lazima ni kimeo
 
Mie sijui simu,lakin nahisi bei iko chinii saaana kama kweli ni S4 yenyewe
 
Samsang S4 inauzwa kwa bei ya laki tano na nusu ni original,kama unaitaka wasiliana nami 0659404548

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mzee s4 orginal guarantee yake huwa inafanyika online hiyo umesha ifanyia au vipi
 
mtu kamua kuza chake ukikipenda unakalibishwa maneno ya karaha wala hayana mana vuta subula mkuu utauza tu iyo nikawaida ktk biashara
 
mtu kamua kuza chake ukikipenda unakalibishwa maneno ya karaha wala hayana mana vuta subula mkuu utauza tu iyo nikawaida ktk biashara

kamua-kaamua
unakalibishwa-unakaribishwa
mana-maana
subula-subira
iyo-hiyo
 
Galaxy S4 kwa laki tano!??? Mkuu hiyo clone/replica..endelea kukaa nayo
 
S4 imefika bei hiyo? mh kuna walakini hapo wanunuz kuwen makin.
 
Back
Top Bottom