samsung s4 inashida ya network

samsung s4 inashida ya network

kaiser p

New Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
4
Reaction score
3
habari samahani samsung s4 inashida ya kukata mtandao na kuanda Inset sim card na uki listat ina kua sawa bt baada kama dakika 5 tatizo linaludi tena.nn shida
 
[emoji20] kama yangu vile s4 mini yaani inazingua mpk basi ila yangu inachukua muda unaweza kaa nayo hata 4 days , ila ikiamua kugoma.siku nzima
 
umejaribu kupeleka kwa fundi ? maana yngu inaandika emergency call or connection invalid
 
so umechukua uamzi gani maana yangu sijapereka kwa fundi vipi nafikilia kuifany update softwere yake nione
 
habari samahani samsung s4 inashida ya kukata mtandao na kuanda Inset sim card na uki listat ina kua sawa bt baada kama dakika 5 tatizo linaludi tena.nn shida
hapo shida inawza kuwa vitu 2 chakwanza simcard yako 2 tray inamo kaa simcard
 
habari samahani samsung s4 inashida ya kukata mtandao na kuanda Inset sim card na uki listat ina kua sawa bt baada kama dakika 5 tatizo linaludi tena.nn shida
Imei na baseband vipo sawa????
 
Back
Top Bottom