Mkuu, mbona unatafuta S3 wakati kuna S4 imeshatoka? Au ni kwa kuwa vya kale ni dhahabu?!
wewe acha domo sana kama huna nia ya sisi tufanye biashara then keep it shuted
sitaki brand new na bei ipo juuu sana
Kama huna haraka wiki moja nina sumsung s3. Tshs 600. Brand new.
Kama huna haraka wiki moja nina sumsung s3. Tshs 600. Brand new.
Matatizo ya Chinese phones yanategemea na kiwanja unachoishi.China disposable phone