Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 127
Wadau kuna kitu nakihisi kama kipo kwenye simu za Samsung S series.
Kila ikifika muda fulani kuanzia jioni mara nyingi nashindwa kufungua videos kwa whatsapp au haga instagram au twitter au hata kuangalia status za videos kwa whatsapl au instagram inastuck stuck.
Nilikuwa natumia S9 baaday nikahamia S20 lakin naona mambo ni yale yale.
Kwanye simu zingine sa Samsung (yaani A series na J series mambo fresh kabisa hakuna hiyo tabu)
Je, shida inaeza kuwa ni nini jamani naombeni msaada manake inakera sana sanaa pale unapotaka kuangalia videos halafu inastuck stuck.