ras mkweli
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 280
- 104
Wanajukwaa nawezaje kutrack samsung note 5 kwa kutumia IMEI pia ilikuwa na samsung cloud
Thanks a lot hivyi hata akiformat bado itaonekanahttps://findmymobile.samsung.com/ hii kitu only works kama ulisign in kwenye samsung account na kuactivate find my mobile kwenye settings
kama amefanikiwa kuiformat haitaonekana.. ila kama uliweka factory reset protection itamchukulia vigumu kuiformat bt kama hukuweka kuiformat kwake ni simple tu.Thanks a lot hivyi hata akiformat bado itaonekana