Samsung Note 2 Baseband

yoga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
2,004
Reaction score
10,392
Simu yangu aina ya samsung note 2 imepoteza baseband, mafundi kadhaaa wamenikatisha tamaa kwa kunambia imekufa tayari!!upande wa network

Hakuna mtaalam anayeweza kuzi-install baseband na imei number ifuction kama kawaida??? Msaada tafadhali
 
Usikate tamaa achana na hao mafundi subiri utapata msaada hapa.
 
Simu yangu aina ya samsung note 2 imepoteza baseband, mafundi kadhaaa wamenikatisha tamaa kwakunambia imekufa tayari!!upande wa network

Hakuna mtaalam anaye weza kuzi install baseband na imei number ifuction kama kawaida??? Msaada tafadhali



hapo ni kurestore efs tu


hao mafundi nadhani ni wa k.koo tu.
 
Nenda mwenge chief kuna jamaa anaitwa Marcel. He can help u ni fundi mzuri
 
ulizia fundi mwenye box, kwa box ni dk 0 tu inafaa. ila kuwa makini ukiekewa imei ya kichina simu zikizimwa na we umoo
 
So imei za kibongo inabidi ziweje

Ninachomaanisha ni kwamba issue ya baseband inahusiana na imei mtu anaweza akakubadilishia imei kwenye process hivyo simu original ikawa na imei fake

Hakuna imei ya kibongo kuna imei original na fake
 
Simu yangu aina ya samsung note 2 imepoteza baseband, mafundi kadhaaa wamenikatisha tamaa kwakunambia imekufa tayari!!upande wa network

Hakuna mtaalam anaye weza kuzi install baseband na imei number ifuction kama kawaida??? Msaada tafadhali





kama una computer tukusaidie

ni issue ya kuroot simu tu na kurestore efs
basi.


Au pia unaweza tumia app moja inaitwa EFS Tool Samsung ipo playstore..

kwanza root simu yako

kisha enable usb debugging

kisha ndo download hiyo app hapo juu kutoka playstore then rudi hapa jukwaan tuendeleee.
 
kcamp: nimefata maelekezo yako imekubali lakini ukizima simu inapoteza tena!!!
 

natumia windows 8; ngoja nijaribu kufata maelekezo yako!!!
 
JF hadi raha. Hili jukwaa nalipenda sana ila nadhani linahitaji nipate kashule flani hivi ka mabo ya kiteknolojia maana huwa kuna vitu vingi sana sivielewi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…