Samsung maintainance app inayofuta media ni ipi?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,413
Naomba kufahamishwa hiyo app ni ipi kwenye simu yangu?
Screenshot_20210710-125422.jpg
 
Nafkiri ni built in app ukienda setting Kuna app ambayo ina clean simu, kama kumbukumbu ina jina hilo hilo la maintenance.

Na hao videoder hawana issue, Wana virus kwenye app yao ndio maana wanafyekwa na security za simu.
 
Thanks, Ushauri wa alternative app mkuu.
 
Back
Top Bottom