Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine.
Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search engine.
Kutokana na uamuzi huu Google itapoteza mapato yenye thamani ya $3 billion kwa mwaka kutoka Samsung
Jumatatu ya leo mauzo ya hisa za Microsoft yalipanda kwa 1.4% huku ya Google yakishuka kwa 3.2%
Google bado ni search engine inayopendwa zaidi duniani ikiwa na matumizi kwa 90% na Bing ni chini ya 3%
Nafikiri ile hasara kubwa waliyoipata Samsung ya karibu $3 bln katika mauzo ya semiconductor ndani ya robo ya kwanza ya mwaka huu 2023 (Jan-March) imewachanganya sana wanaanza kufanya maamuzi ambayo huenda yakawa-cost
Google imetupa Degree mabaharia wengi sana pande tofauti za Dunia. 🤣🤣🤣 Samsung waache kiherehere hamna mtu atanunua lisimu ambalo halina google services.