Samsung j6 plus 2018

Lil dove

Senior Member
May 9, 2017
156
196
simu bado mpya bei kitonga kwa 380k tu piga 0764963774
FB_IMG_1551267481231.jpeg
FB_IMG_1551267478530.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vp Lil dove?! Junior hajambo?! Mwambie asiwe anaacha huo mgari wake nje, majitu ya roho mbaya yatamwibia!!

Halafu, hebu toa basi specs za hiyo J6+ manake kuna zile za 64 (4) GB na zingine 32 (3) GB. Kama yako ni ya 64(4) GB na accessories zake (especially charger + earphone) zipo, basi kuna 300K hapa + nauli yako maanake naatamia mayai kwahiyo siendi mbali kuzidi 50mM!! hapa! And guess what; zooooooote ni nyekundu nyekundua tupu, mpyaaaaaaaaaaaaa!

Mwambie Junior anasalimiwa na uncle my+B anamsalimia!
 
Mambo vp Lil dove?! Junior hajambo?! Mwambie asiwe anaacha huo mgari wake nje, majitu ya roho mbaya yatamwibia!!

Halafu, hebu toa basi specs za hiyo J6+ manake kuna zile za 64 (4) GB na zingine 32 (3) GB. Kama yako ni ya 64(4) GB na accessories zake (especially charger + earphone) zipo, basi kuna 300K hapa + nauli yako maanake naatamia mayai kwahiyo siendi mbali kuzidi 50mM!! hapa! And guess what; zooooooote ni nyekundu nyekundua, mpyaaaaaaaaaaaaa!

Mwambie Junior uncle my+B anamsalimia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom