Kwanza kabisa hiyo simu ni toleo la china, pili zipo clone za hiyo simu.Wakuu msaada,
Samsung j5 model no. SM-J5008 mpya kabisa nikiweka line inasema ‘mobile network unavailable’ . Yeyote mwenye kujua jinsi ya kutatua tatizo hilo, au ambae anafahamu anaeweza kutatua tatizo hilo amtag hapa niweze kwenda hewani wakuu.
Shukrani.
View attachment 1118883
Hii ndio screenshot ya certificate
Mkuu Ahab Leeka habari;Upande wa cert uko sawa, hapo ni kucheza na qcn na security.
Mkuu Ahab Leeka habari;
Simu inatatizo la 3g nikiwasha inaandika no service nimejaribu kubadili laini lakin hakuna mafanikio msaada tafadhali.
Smart guy
Qcn ndio ipo upande gani?
Tecno y3 kaka
Smart guy
Haifanyi kazi mkuu mpaka useti 2gKwenye kupiga na kupokea simu yako inafanya kazi?
Haifanyi kazi mkuu mpaka useti 2g
Smart guy
Na ukizingatia kaka nimewapelekea mafundi wa software Waiflash lakini bado tatizo liko pale paleMara nyingi kesi yako hiyo inakuwa modem hardware imefail, jaribu kutafuta nvram kutoka kwenye simu iliyonzima uiandikie kama itagoma hiyo ni hardware .
Na ukizingatia kaka nimewapelekea mafundi wa software Waiflash lakini bado tatizo liko pale pale
Smart guy
Sawa kiongoziHiyo siyo ya kuflash, kama waliwrite nvram ikagoma dili na mafundi wa hardware.