mkuu seems una mambo mengi unayohitaji kwenye simu, ungeyataja yote ingekuwa vizuri ili kupata kifaa kizuri.
nimecheki simu za around bei hio naona galaxy A3 inayo, zote original na ya 2016 sema mi sikubaliani na battery ya original, japo sio mbaya kivile.
pia umeshafikiria simu second hand? kwa budget hio unapata galaxy s5.
baadhi ya simu brand nyengine zenye compass bei hio ni huawei p8 lite, xiaomi redmi 3, moto g series