Samsung J2 used in good condition inauzwa

Samsung J2 used in good condition inauzwa

Simu yenye betri 2000 mAh kwa laki 3 labda watanunua wasioelewa mambo ya simu

Yaani simu ina betri ndogo
pia hata kwa 250k bado ni overpriced kwa specification zake
 
Simu yenye betri 2000 mAh kwa laki 3 labda watanunua wasioelewa mambo ya simu

Yaani simu ina betri ndogo
pia hata kwa 250k bado ni overpriced kwa specification zake
Sawa.
 
Simu yenye betri 2000 mAh kwa laki 3 labda watanunua wasioelewa mambo ya simu

Yaani simu ina betri ndogo
pia hata kwa 250k bado ni overpriced kwa specification zake
Bei iliyo fair ni ipi ?
 
Original pesa ngapi ?
Yangu original na pia ni mtunzaji mzur wa simu
laki 3 ila kama uko siriazi utapenda kua nayo njoo tuongee private PM nitaipunguza ...ni bora ununue kitu original kwa bei uliyopunguziwa kuliko kununua ambayo ni cheap lakini ya kichina
 
Sawa

Inakaa na chaji kwa muda gani?
 
Sawa

Inakaa na chaji kwa muda gani?
Kama huwashi ovyo DATA bila sababu za msingi au kuwasha mziki kutwa nzima basi inakaa masaa 15..nilitoka nayo dar kwenda mwanza ilikua na 100% lakin njiani nlikua nasikiliza mziki mda mrefu na kuwasha data japo sio kila saa nikafika mwanza saa 7 na chaji ilikua 58%
 
sasa ww nawe ni blind .. ile j prime unsfananisha na J2... au ni ukubwa wa kioo umekuchanganya. . J2 is th best kwa series nyingi za mbele kwenye J series .. tena ukute ni 4G ... utaipenda.
Uzuri wa j2 upo kwenye nini ndugu

Na plan kununua hio simu
 
Hivi kwann izi simu nyingi bado hazijafikia ubora wa Samsung note 2 licha ya Zenywe zimetoka ivi karibuni uku note 2 toka 2012 ipo sokoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom