ndama mtundu Member Joined Nov 8, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Nov 14, 2015 #1 Natafuta Samsung galaxy S5, S4 used kwa sh 100,000/ . Nicheki 0718090892 nitumie picha whatsapp nikiipenda tutafanya biashara.
Natafuta Samsung galaxy S5, S4 used kwa sh 100,000/ . Nicheki 0718090892 nitumie picha whatsapp nikiipenda tutafanya biashara.
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,700 Nov 14, 2015 #2 Laki moja!!!?
ndama mtundu Member Joined Nov 8, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Nov 14, 2015 Thread starter #3 LUBEDE said: Laki moja!!!?[/QUOTE ndiyo Click to expand...
chalii wa ara JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 1,086 Reaction score 1,021 Nov 14, 2015 #4 Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90 Attachments 1447520822588.jpg 23.6 KB · Views: 321
mukulupapaa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 2,930 Reaction score 1,734 Nov 14, 2015 #5 chalii wa ara said: Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90 Click to expand... hahahab hiyo edge inamfaa sana na chenji anachukua kabisa
chalii wa ara said: Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90 Click to expand... hahahab hiyo edge inamfaa sana na chenji anachukua kabisa
ndama mtundu Member Joined Nov 8, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Nov 14, 2015 Thread starter #6 chalii wa ara said: Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90 Click to expand... mkuu hyo nakupa 60
chalii wa ara said: Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90 Click to expand... mkuu hyo nakupa 60
chalii wa ara JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 1,086 Reaction score 1,021 Nov 14, 2015 #7 ndama mtundu said: mkuu hyo nakupa 60 Click to expand... Nashkuru Mkuu Kwa Offer yako Ila 60 haiendi kaka
ndama mtundu said: mkuu hyo nakupa 60 Click to expand... Nashkuru Mkuu Kwa Offer yako Ila 60 haiendi kaka
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,333 Nov 15, 2015 #8 hahahahahahahaha ni Tanzania pekeyake ndio unaweza pata kwa ela hiyo,labda kwa wizi mtu akiiba Teja akiiba atakuuzia
hahahahahahahaha ni Tanzania pekeyake ndio unaweza pata kwa ela hiyo,labda kwa wizi mtu akiiba Teja akiiba atakuuzia
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,503 Nov 15, 2015 #9 chalii wa ara said: Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90 Click to expand... hakuna zile za kiume mkuu?,yaani za keyboard,maana hizo za kugusa ni za wanawake,,,,,,,,,, ha ha ha,
chalii wa ara said: Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90 Click to expand... hakuna zile za kiume mkuu?,yaani za keyboard,maana hizo za kugusa ni za wanawake,,,,,,,,,, ha ha ha,
chalii wa ara JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 1,086 Reaction score 1,021 Nov 15, 2015 #10 Money Stunna said: hahahahahahahaha ni Tanzania pekeyake ndio unaweza pata kwa ela hiyo,labda kwa wizi mtu akiiba Teja akiiba atakuuzia Click to expand... Hahaha Money Stunna zipo hadi i phone 6+ bei zinaanzia 70 tsh made in california assembled in Ubungo Darajan Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Money Stunna said: hahahahahahahaha ni Tanzania pekeyake ndio unaweza pata kwa ela hiyo,labda kwa wizi mtu akiiba Teja akiiba atakuuzia Click to expand... Hahaha Money Stunna zipo hadi i phone 6+ bei zinaanzia 70 tsh made in california assembled in Ubungo Darajan