SAMSUNG i8910 MOBILE PHONE FOR SALE

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
Simu hii imetumika lakini ipo ktk hali nzuri na inafanya kazi bila ya wasiwasi.Isipokuwa kifuniko cha nyuma kimeregea kidogo lakini kinafunga kama kawaida na haisumbui matumizi yake na mauzo ya simu hii ni simu na charger tu bila ya box.Nategemea baada ya wiki moja itakuwa imefika kutoka uingereza.Tafadhali wasiliana na Habibu 0717810318 Bei ni Tsh 200,000
-Screen size 3.7"
-Capacity 8GB
-Picture 8 mega pixel
-Model i8910 HD

P1000023.JPG P1000038.JPG
 
@Kadwame...naomba uwasiliane na Habibu japo kwa msg 0717810318 kwa sababu sipo Bongo.Pengine mwisho wa wiki hii au ijayo mzigo utafika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom