Hahaha..... sawa mkuu ππSijaona sehemu hao samsung wamezisema simu za iphone/apple.
Ni sawa na wasanii wetu waseme napapenda Buza kwampalange au naipenda tigo. Hapo ni ww na mawazo yako ndio utaweza kuelewa ila huwezi kuwafunga kwa hayo maneno
Mkuu nimeweka link kabisa, hiyo ni official account ya Samsung unaweza gusa link na uanze kusoma mwenyewe, Wala sio "kudanganywa na vitu vidogo vidogo"Ila na nyie apple users em tumieni akili na acheni kudanganywa na vitu vidogo vidogo
Niliposema msidanganyike na vitu vidogo vidogo nimemaanisha kuwa hao apple wanatoa toleo jipya likiwa na vitu vipya vya kipuuzi sana Then wanauza kwa mamilioni kwa sababu kuna wapuuzi lazima watanunua kisa n apple.Mkuu nimeweka link kabisa, hiyo ni official account ya Samsung unaweza gusa link na uanze kusoma mwenyewe, Wala sio "kudanganywa na vitu vidogo vidogo"
Kingine usije ukadhani naipenda Apple kuliko Samsung. Actually napenda products za Samsung kuliko Apple ila hapa naongelea hizi tweets za Samsung. Weka ushabiki pembeni mkuu
Unadhani ni rahisi kuwa Apple?Niliposema msidanganyike na vitu vidogo vidogo nimemaanisha kuwa hao apple wanatoa toleo jipya likiwa na vitu vipya vya kipuuzi sana Then wanauza kwa mamilioni kwa sababu kuna wapuuzi lazima watanunua kisa n apple.
Basi nisamehe mimi..... Sikuelewa ulichokuwa unasemaNiliposema msidanganyike na vitu vidogo vidogo nimemaanisha kuwa hao apple wanatoa toleo jipya likiwa na vitu vipya vya kipuuzi sana Then wanauza kwa mamilioni kwa sababu kuna wapuuzi lazima watanunua kisa n apple.
Upo sahihi, ila kati ya android na apple wapi kuna uhuru wa kufanya mambo?Unadhani ni rahisi kuwa Apple?
Ni muhimu sana kujitengenezea thamani. Kuna watu watakulipa pesa nyingi sababu tu wewe ni mbaga ila hicho unachofanya hata wengine wanaweza na zaidi.
Mtu anakaa uswahili afu ety anazungumzia security πOnly weakness of Apple products ni restrictions. Wenyewe wanasingizia eti ni for security
Apple naona kama wamewekeza kwenye jina kwa mafanikio makubwa. Hata wakifuta kila kitu wakaweka kioo cha kujitazama ukichana nywele inawezekana wakauza na usishangae ukakutana na mtu ana kipara kanunua hicho kioo. Binafsi ni mteja wa android.Upo sahihi, ila kati ya android na apple wapi kuna uhuru wa kufanya mambo?
π πApple naona kama wamewekeza kwenye jina kwa mafanikio makubwa. Hata wakifuta kila kitu wakaweka kioo cha kujitazama ukichana nywele inawezekana wakauza na usishangae ukakutana na mtu ana kipara kanunua hicho kioo. Binafsi ni mteja wa android.
Ukisema vitu vipya vya kipuuzi wakati huja visoma uvifahamu ni sawa na kumsuta tajiri wakati yeye ndio mwenye pesa ww huna.Niliposema msidanganyike na vitu vidogo vidogo nimemaanisha kuwa hao apple wanatoa toleo jipya likiwa na vitu vipya vya kipuuzi sana Then wanauza kwa mamilioni kwa sababu kuna wapuuzi lazima watanunua kisa n apple.
Kama leo ndio mara ya kwanza mm kuijua iphone bc uko sahihiUkisema vitu vipya vya kipuuzi wakati huja visoma uvifahamu ni sawa na kumsuta tajiri wakati yeye ndio mwenye pesa ww huna.
Ni vema ungeenda in details na tech knowledge ni vitu vipi vya kijinga