Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

Shukrani Chief, halafu uzuri wako huchelewi "ku-respond"! Kila lenye kheri.
 
Nipo mbioni kununua xiaomi redmi 4a USD 96 (www.gearbest.com), vp 4G inakubali mitandao ya TZ?
 
Mkuu natumai hii xiaomi redmi note 3 inakubali mitandao yote na mpesa pia.

inakubali mitandao yote na mpesa ila model yenyewe haina tigo 4g (mtandao wa tigo unashika unatumia kawaida 2g na 3g kasoro 4g, na nafkiri songea hakuna 4g)

ila pia ipo special edition inakubali tigo 4g japo sijajua model yake ni ipi
 
Asante sana chief, Natumai 4g italetwa labda mwisho wa mwaka huu. Hata ivo sina line ya tigo.
 
ila mkuu kuwa makini kuna version mbili za redmi note 3, ipo ya china yenye mediatek helio x20 na ya kimataifa yenye snapdragon 650 ni vyema ununue hio ya kimataifa
Mkuu naomba nikuulize kitu cha mwisho.
Nawezaje kujua hii ni ya kimataifa au hiyo snapdragon nifuate procedure gani kuiona au nitakaye mwagize aniangaliziaje?
 
ukiwa simu umeshaishika unaeka application ya cpu-z itakuonyesha kama ni mediatek au snapdragon.

ila kama simu ipo mbali na wewe hapo ni uaminifu tu hamna namna,
 
Hapo ni mtihani mwingine, ngoja ni google how to use cpu-z.
 
Mkuu naomba nikuulize kitu cha mwisho.
Nawezaje kujua hii ni ya kimataifa au hiyo snapdragon nifuate procedure gani kuiona au nitakaye mwagize aniangaliziaje?

Mimi ninayo hii simu na nazijua..kuijua ya Snapdragon nenda settings then about phone finally angalia kipengele cha CPU,kama ni Snapdragon imeandikwa "Hexacore" ila kama ni Mediatek utakuta octacore.
 
Attachments

  • IMG_20170111_144309.jpg
    82.6 KB · Views: 90
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…