Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
labda unadownload moded ambayo ni version ya zamani wakati ndani ya simu tayari una version mpyaAsanteh mkuu! Ila hivi tatizo ni lipi maana kila site nikipakua game ya brothers in army mod nikistall inagoma inasema app not installed ila nikipakua ambayo siyo moded or cracked inakubali vizuri na simu yangu ina run android six tatizo ni nini hapo na haipo rooted?
Sina moded yeyote na hili game sina kwa sasa na moded ambayo naipakua ni hii latest 1.4.4c kitu kama hiki maana moded ya 1.4.5f haijatoka bado ila linazingua na kila site nayo kwenda sifanikishi hili ila nikipakua lisilo moded fasta tu linakubali kuwa installed hapo ndipo nashindwa fahamu shida ni ipi na ni kwa game hili tu games nyingine zinakubali vizuri modedlabda unadownload moded ambayo ni version ya zamani wakati ndani ya simu tayari una version mpya
site nyengine mkuu pia haziaminikiSina moded yeyote na hili game sina kwa sasa na moded ambayo naipakua ni hii latest 1.4.4c kitu kama hiki maana moded ya 1.4.5f haijatoka bado ila linazingua na kila site nayo kwenda sifanikishi hili ila nikipakua lisilo moded fasta tu linakubali kuwa installed hapo ndipo nashindwa fahamu shida ni ipi na ni kwa game hili tu games nyingine zinakubali vizuri moded
site nyengine mkuu pia haziaminiki
revdl wanaaminika, hio latest wanayo mod hii hapa
Brothers in Arms 3 1.4.5f Apk + MOD + data Android
jaribu site hio hio download version ya nyuma.Comming soon haijatoka bado
View attachment 647778
ipo mimi niliupdate jana iko poa sanaUpdates ya nougat kwa j7 prime
Yap jana ilikuwa siku nzuri sanaaaaipo mimi niliupdate jana iko poa sana
jaribu site hio hio download version ya nyuma.
kitu chengine, sometime unapodownload apk na kuinstall inaweza kupa error ukiifungua pale pale, ila ukiopen file manager na kulocate lile file lilipo na kuifungua ndani ya file manager linakubali.Wameitoa hiyo version katika hiyo website nimeitafuta mpaka basi na hiyo latest bado kama ina some errors unapo install inakwambia parsing error
kitu chengine, sometime unapodownload apk na kuinstall inaweza kupa error ukiifungua pale pale, ila ukiopen file manager na kulocate lile file lilipo na kuifungua ndani ya file manager linakubali.