Samsung Galaxy Tablet 2.7 - Memory

Samsung Galaxy Tablet 2.7 - Memory

Captain Phillip

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
894
Reaction score
538
Wadau,

Naomba mwenye uelewa wa hii tablet anisaidie hapa.

Inbuilt memory ta simu ni GB 8 na imejaa nikanunua SD Card ili kuongeza memory but nashindwa kuiset SD card kama default memory kwa apps na hata photos za kawaida.

Please msaada kwa mwenye uelewa hapa.

Natanguliza Shukrani.
 
Kuna application inatoa apk kutoka phone memory to SD card
Jaribu ku google hizi key terms "phone to SD apk"

Au kwenye Play store search hayo maneno utapata nyingi tu jaribu moja
 
Ngoja nijaribu mkuu ntarudi hapa kwa mlishonyuma
 
Kuna application inatoa apk kutoka phone memory to SD card
Jaribu ku google hizi key terms "phone to SD apk"

Au kwenye Play store search hayo maneno utapata nyingi tu jaribu moja

Mkuu nimejaribu kudownload app ambayo iko na high rating but inaniambia ''No Need to move because SD shares the same disk with OS''
 
Jaribu nyingine mkuu lkn soma descrption kabla ya kukimbilia ku install...
Maana kila app ina maelezo ya inachokifanya
 
Back
Top Bottom