Samsung Galaxy tab 8.9

Samsung Galaxy tab 8.9

apolycaripto

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
644
Reaction score
225
Wakuu nina kifaa hicho kipya kabisa kutoka Uholanzi, tatizo ni kuwa hakina sehemu ya line kwa ajili ya internet ila Wireless (Wi-Fi) pekee.

Nitawezaje ku-access internet muda wote hasa ukizingatia hali ya nchi yetu (Internet ni anasa)?Je! Iwapo hakuna alternative ya ku-access internet sehemu yoyote ,nikikiingiza sokoni bei halisi ni ngapi?
 
Mkuu hamna hata external 3G USB dongle?

Hapo kama hai support 3G utalizwa mtaani bora u return hiyo product
Mimi mwenyewe natafuta TAB eBay lkn kwanza nawauliza kama ina support SIM
 
Back
Top Bottom