[emoji2] [emoji2] [emoji2]Na hilo tatizo limeanza tangu umeinunua ama?
Rubiikimimi[emoji85]
Hao ni malware tayar..solution ya uhakika ni kuflash rom mpya tu.Habari zenu wakuu...
Kama heading inavyosomeka hapo juu, simu yangu ina matatizo yafuatayo, huwa inajiwasha data yenyewe, inaleta matangazo mara kwa mara tena sometimes yanakuja ya ngono pia huwa inanileta ujumbe unfortunately stop..
Tatizo litakua nini? msaada wenu wa kilataalam unaitajika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti kati ya Nokia ya China na ya Global ni ipi?1. hakikisha kama ni original kwanza, kama ni original utaweza kumtoa manual kirahisi kama sio utahitaji kuiflash
- ingia playstore download app cpu z kuangalia soc yake, most of fake hutumia mediatek na original mara nyingi ni qualcomm na exynos
2. kama.ni original nenda setting kisha security kisha device administrator halafu angalia kuna nini na nini, by default kunakuwa na device manager ukiona kuna chengine kimezidi kitoe.
3. nenda setting kisha apps au application kisha downloaded application toa apps zote usizozijua.
tofauti kubwa ni playstore ya china haina, ila nimeskia kuna update wametoa wameeka playstore kwenye version ya china pia.Tofauti kati ya Nokia ya China na ya Global ni ipi?
Zina utofauti wowote?
Okay mkuutofauti kubwa ni playstore ya china haina, ila nimeskia kuna update wametoa wameeka playstore kwenye version ya china pia.
pia updates zitakuwa tofauti.
uzuri wa za china nyingi ni 4gb ram, hizi za kimataifa ili upate ya 4gb ram ni hadi ununue ile yenye material ya kinanda inayouzwa ghali (arte black)Okay mkuu
Kuna sehemu nilienda kununua Nokia 6 ila muuzaji aliniambia ni zile zilizozinduliwa kwa ajili ya China tu.
Nikasita ila ni nzuri sana.
Sihitaji kuroot.uzuri wa za china nyingi ni 4gb ram, hizi za kimataifa ili upate ya 4gb ram ni hadi ununue ile yenye material ya kinanda inayouzwa ghali (arte black)
angalia mwenyewe mkuu, unaweza mshauri ai update uone kama playstore itakuja. maana hii simu wamebana sana kwenye ulinzi, kuroot tu ni tabu
Au nitanunua mtandaoni.uzuri wa za china nyingi ni 4gb ram, hizi za kimataifa ili upate ya 4gb ram ni hadi ununue ile yenye material ya kinanda inayouzwa ghali (arte black)
angalia mwenyewe mkuu, unaweza mshauri ai update uone kama playstore itakuja. maana hii simu wamebana sana kwenye ulinzi, kuroot tu ni tabu
Acha kuangalia porn website nyingi za porn zina malware alafu utaibika siku unampa mtu simu yako akiingia kwenye net anakutana na matangazo ya porn. Suluisho acha kuingia website za porn maana unachotafuta kwenye net ndio matangazo yanaletwa kutokana na unachotafuta.Habari zenu wakuu...
Kama heading inavyosomeka hapo juu, simu yangu ina matatizo yafuatayo, huwa inajiwasha data yenyewe, inaleta matangazo mara kwa mara tena sometimes yanakuja ya ngono pia huwa inanileta ujumbe unfortunately stop..
Tatizo litakua nini? msaada wenu wa kilataalam unaitajika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ushairi ila sidhani kama upo sahihi kwa kua hiko kitu huwa siangaliagi kabisaa na sio hayo wanale mengi sana sometimes inakua kama umeoreboot inaleta lugha uchagueAcha kuangalia porn website nyingi za porn zina malware alafu utaibika siku unampa mtu simu yako akiingia kwenye net anakutana na matangazo ya porn. Suluisho acha kuingia website za porn maana unachotafuta kwenye net ndio matangazo yanaletwa kutokana na unachotafuta.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Acha kuangalia porn website nyingi za porn zina malware alafu utaibika siku unampa mtu simu yako akiingia kwenye net anakutana na matangazo ya porn. Suluisho acha kuingia website za porn maana unachotafuta kwenye net ndio matangazo yanaletwa kutokana na unachotafuta.