Samsung galaxy tab 10.1 32gb

Samsung galaxy tab 10.1 32gb

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
Habari wakuu,
Samsung Galaxy Tab 10.1 ya 32GB, inasupport Wireless na Sim Card (3G) naiuza kwa TZS. 750,000/= tu. Ni used toka nje na haina scratch hata kidogo wala shida yoyote.

Call me: 0655 003 510
 
Attachments

  • galaxy%20tab%2010.1.jpg
    galaxy%20tab%2010.1.jpg
    13.9 KB · Views: 148
Habari wakuu,
Samsung Galaxy Tab 10.1 ya 32GB, inasupport Wireless na Sim Card (3G) naiuza kwa TZS. 750,000/= tu. Ni used toka nje na haina scratch hata kidogo wala shida yoyote.

Call me: 0655 003 510
vp mkuu mzigo bado upo?
 
Used used 2 iwe us uk china au bongo. That's 1 reason unauza kwa bei hiyo. Kibongobongo ni 1.1m

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watu kama nyie huwa hamkosekani kwenye biashara za watu' ila sio mbaya You Hate, Am Livin. Get ur own hustle bro mtoto wa kiume hapigi porojo.
Used used 2 iwe us uk china au bongo. That's 1 reason unauza kwa bei hiyo. Kibongobongo ni 1.1m

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sorry bro GP mzigo uliondoka fasta sana' ila nimekujibu PM yako so hakuna kitakachoharibika. Nikirudi tu utakua wa kwanza kukucheki. Asante
vp mkuu mzigo bado upo?
 
Sorry bro GP mzigo uliondoka fasta sana' ila nimekujibu PM yako so hakuna kitakachoharibika. Nikirudi tu utakua wa kwanza kukucheki. Asante

pamoja mkuu, nimekujibu pm
 
Back
Top Bottom