Samsung galaxy star plus

Samsung galaxy star plus

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,198
Reaction score
11,632
Kwa wale wajuzi wa simu naomba msaada wenu nahitaji kununua hii simu nimeikuta duka la Samsung pale makumbusho kwa bei ya 190000 nikasita je inawezekana kweli ikauzwa kwa bei ikawa ni Genuine kweli pia Budget yangu nata Nataka samgsung ya budget ya around 250,000 ni simu gani nzuri?
 
nimewahi kuona galaxy star nyingi hazina 3G, hebu fanya utafiti kwanza..
 
Kungekuwa na tuzo za simu mbaya hio inastahili wala usihangaike nayo. Haina 3g na processor take ni ndogo sana.

Kwa 250 Samsung jaribu s2 au s duos 2
 
Kungekuwa na tuzo za simu mbaya hio inastahili wala usihangaike nayo. Haina 3g na processor take ni ndogo sana.

Kwa 250 Samsung jaribu s2 au s duos 2
Nashukuru mkuu kwa hapa dar naweza kupata wapi?
 
Back
Top Bottom