Samsung Galaxy SII Mpya inauzwa

Samsung Galaxy SII Mpya inauzwa

mi nna original samsung galaxy s3 mini shng laki3.5 mpya kwenye box lake plus all accessories.kama sio mjuzi wa simu original ntakufundisha kuangalia na kutofautisha og na clone.Pia nna samsung galaxy s4 GT i9500 na samsung galaxy ace advanced people u can chek me through +255714478797
 
Hiyo samsung mini ni model no.ngapi?? Mbona hii s4 umetaja?
mi nna original samsung galaxy s3 mini shng laki3.5 mpya kwenye box lake plus all accessories.kama sio mjuzi wa simu original ntakufundisha kuangalia na kutofautisha og na clone.Pia nna samsung galaxy s4 GT i9500 na samsung galaxy ace advanced people u can chek me through +255714478797
 
We muongo nilikwambia niletee hizo simu unazungusha..mara nije kariakoo mara sijui uko wapi nadhani we sio mkweli au ni tapeli
 
mi nna original samsung galaxy s3 mini shng laki3.5 mpya kwenye box lake plus all accessories.kama sio mjuzi wa simu original ntakufundisha kuangalia na kutofautisha og na clone.Pia nna samsung galaxy s4 GT i9500 na samsung galaxy ace advanced people u can chek me through +255714478797

Haiwezekani wewe uuze simu alafu umfundishe kujua original!!!. Utampeleka chaka tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom