@lusungo asante sana kwa taarifa ila ungejua hali zetu.. Usingetutamanisha kakaWakuu tukutane hapa kujuzana mambo matamu ya Samsung Galaxy S9.... Leo tarehe 25 itazinduliwa rasmi huko Barcelona!!
Inasemekana hii simu itakuwa ni balaa na itaendelea kukimbiza kama ilivyofanya S8
Karibuni kwa updates!!
ππππkwake vyuma avijakaza@lusungo asante sana kwa taarifa ila ungejua hali zetu.. Usingetutamanisha kaka
Inadumu muda wote!! Hizi simu ni high-end mkuu..... ubora utakaouona siku ya kwanza na baada ya miaka mitatu ni ule ule... tofauti na tecno ambapo kadiri siku zinavyosogea ubora unaondokaS8 inadumu kwa muda gani ikiwa na ubora wake ipasavyo?
Poa mkuu, ila ka TECNO kangu nako si haba kanachanja mbuga kama kawaidaInadumu muda wote!! Hizi simu ni high-end mkuu..... ubora utakaouona siku ya kwanza na baada ya miaka mitatu ni ule ule... tofauti na tecno ambapo kadiri siku zinavyosogea ubora unaondoka
Usijali mkuu kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake, kikubwa ni kushiba tu na kupata utulivuHamia kwenye vitu vizuri mkuu...... kuanzia March S9 itakua mtaani..... karibu kwenye Ulimwengu wa simu nzuri
Nina tecno h6 toka 2015 ubora uleule na sijaipeleka kwa fundi toka ninunue,nimebadilisha betri tu.
wewe utainunua?Hamia kwenye vitu vizuri mkuu...... kuanzia March S9 itakua mtaani..... karibu kwenye Ulimwengu wa simu nzuri
mambo ya Kuba dilishani betri kwenye Galaxy yashapoteaNina tecno h6 toka 2015 ubora uleule na sijaipeleka kwa fundi toka ninunue,nimebadilisha betri tu.
Nina tecno h6 toka 2015 ubora uleule na sijaipeleka kwa fundi toka ninunue,nimebadilisha betri tu.
Nina tecno h6 toka 2015 ubora uleule na sijaipeleka kwa fundi toka ninunue,nimebadilisha betri tu.
Hahahahaubora uleule halafu umebadili betriπππππ TECNO NI TECNO TU
Hahahaha Utasikia Ila Kanakaa Kaa na ChajiMasikini mpo vizuri kwenye kujipa moyo.