Midrange ipi hiyo inayo uzwa 250kMkuu hizo simu zimekua za siku nyingi sana na zimepitwa na wakati
Nadhani kuanzia mwakani iPhone 6 itashindwa kuwa na aap kama watsap nk
Kwa bei ya hizo simu tafuta midrange phone za kisasa
Apple walisitisha update kwa iphone 6s, chukua samsung s8 kwa sasa. Ila kama unajiweza kidogo nenda iphone 12 max pro au 13 max pro.Wakuu
Ebu nipeni ushauri nasaha hapa mdogo wenu, nimekwama kati ya vyuma tajwa hapo juu, nipite na ipi kati ya hizo mbili.
Natanguliza shukrani.
Sawa mkuu, ila Samsung Galaxy nahofia kioo chake, nasikia ukitumia kwa muda flani,kioo kinaleta mistari.
Shukrani sana mkuuZote hizo simu nazifahamu, kwa uhakika wa kukaa na simu hata miaka kumi basi Iphone ni chagua sahihi.
Kama unataka simu itakayokupa raha ktk kila eneo, Samsung ni suluhisho lako. S8 ni mashine. Kikubwa weka protector na uitunze vizur, utaifurahia sana.
Nilidhani inakuja yenyewe, basi shukrani sana mkuu.mistari huletwa baada ya kubamiza simu chini.
simu zote zenye majina kama wewe sio mtunzaji ni majang.
simu zote hapo sio mbaya,kama unataka flagship taste,ila utakosa kitu kinachoweza kukukera,bettery imara.
Umeangalia kilichobaki tuChukua infinix smart 6 chenji weka bando
S9 ina maajabu gani mkuu? Nafikiria kuchukua s10 plus maana nimeona inajitahidi ktk chaji.Samsung ni habari nyingine,nakushauri nunua s9 badala ya s8
Nakushauri chukua iPhone ila kuanzia 7, 7+ na kuendelea kwa sababu kuu moja, nayo ni kudumu. iPhone inadumu miaka nenda rudi na hata kioo kikiharibika gharama za matengenezo ni za chini ukilinganisha na Samsung.Wakuu
Ebu nipeni ushauri nasaha hapa mdogo wenu, nimekwama kati ya vyuma tajwa hapo juu, nipite na ipi kati ya hizo mbili.
Natanguliza shukrani.
Shukrani sana mkuu, binafsi hilo swala la kudumu nimelipa kipaumbele, maana naelewa kuwa Samsung zipo fresh ila kuharibika ni swala la kufumba na kufumbua..Nakushauri chukua iPhone ila kuanzia 7, 7+ na kuendelea kwa sababu kuu moja, nayo ni kudumu. iPhone inadumu miaka nenda rudi na hata kioo kikiharibika gharama za matengenezo ni za chini ukilinganisha na Samsung.
Samsung achana nayo, yaweza kuwa kubwa, nzuri lakini mara itakapoharibika kioo kuitengeneza ni bei karibia na ya simu mpya. Na hapo ubahatike kupata kioo ‘Original’ kwa bei hiyo maana unaweza pata ‘fake’ kwa bei ya ‘Original’.
Achana na Samsung achana na iPhone 6s, chukua iPhone kuanzia 7: