Basi chukua redmi 10c mpya bei ziko sawa kuliko hiyo mitumbaInfinix, itel, Tecno .. hapana kwa kweli.
Ongeza hela udake mpya, hiyo mitumba itakutoa mafuaAsante mkuu, ila nime-base kwenye hizo brand mbili hapo
Ikiwa wewe mbepari chukuwa iPhone kama mjamaa nenda na SamsungKwa maana ya ?
Edge display inatakiwa uitunze kama Yai..Sawa mkuu, ila Samsung Galaxy nahofia kioo chake, nasikia ukitumia kwa muda flani,kioo kinaleta mistari.
Ni kweli kuna kama rangi ya pink flan iliyofifia imejichoraSawa mkuu, ila Samsung Galaxy nahofia kioo chake, nasikia ukitumia kwa muda flani,kioo kinaleta mistari.