Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,074
- 43,524
umejaribu kuiacha kwenye charge kama masaa mawili hivi? sometime ikiisha kabisa chaji huchukua muda mpaka kuanza kuchaji tena.imezima kbs hata charge haiingii ..... yaan n kama imekufa kbs
umejaribu kuiacha kwenye charge kama masaa mawili hivi? sometime ikiisha kabisa chaji huchukua muda mpaka kuanza kuchaji tena.imezima kbs hata charge haiingii ..... yaan n kama imekufa kbs
jaribu kwenda setting kisha security kisha device administrator. kama ipo hio avg huko na imeekewa tiki litoe hilo tiki na ujaribu tena kuitoa.
kitu kikubwa kinachokula mb kwenye simu ni video. iwe video iliochukuliwa na simu au uliotumiwa whatsapp inakula sana space.Asante sana kiongozi nimefanikiwa.
Tatizo la kwanza, simu yangu memory yake iko full nimefuta picha,sm na whatupps charts zote lakini bado haikusaidia. Nikajaribu kuangalia nafasi kubwa iko kwenye system memory, applications na miscellaneous file. Kuna apps zingine huwa sizitumii kabisa kwani mimi sio mpenzi wa mambo ya kileo sana. Ila nashidwa kuelewa apps ambazo zinatumika kuiendesha simu ni zipi ili nisije futa nikaharibu simu yangu.
Tatizo la pili, kwenye simu kuna kitufe cha upande wa kushoto kile kinachotumika kama shortcut ya kuonyesha apps ulizofungua kwa sasa hakifanyi kazi, kiliacha kurespond kwa sababu ya tatizo la nafasi kuwa ndogo.
Simu yangu ni samsung SM - G531H
External memory card yangu ilifuta data zote kunauwezekano wa kuzipata? Ilikuwa katika hii simu kwa sasa nimeitoa.
Shukrani.
Chief-Mkwawa asee inazinguahakikisha una salio kwenye simu kama 500 na sio kifurushi.
nenda kwenye sms andika
REG*IMEI NUMBER#
kisha tuma kwenda 15685
utajibiwa kama imesajiliwa ama la na watakata salio kama 150 au 250 hivi.
imei namba unaipata kwa kubonyeza *06# kama imei ni 123345688 basi msg yako itakuwa
REG*123345688#
badala ya neno REG jaribu Check*imei#Chief-Mkwawa asee inazingua
IMEI yangu ni hii
View attachment 692495
Ila kila nikituma wananijibu hivi
View attachment 692496
Apa tatizo linaweza kuwa nini?
Ntajaribu baadae. Ntaleta mrejeshobadala ya neno REG jaribu Check*imei#
sijajua tatizo ni nini, au wamebadili mfumo.
futa video kwanza ikiwa nafasi haitoshi utafuta na apps.Kiongozi Mkwawa asante sasa kwa majibu yako. Sasa nikifuta hapo kwenye kubakiza data ndio sijui inabidi nifute tu halafu ni install upya. Ama unaweza nisaidia maelezo ikiwezekana.
Kuhusu external memory card kufuta data naweza zipata?
Chief-Mkwawa asee inazingua
IMEI yangu ni hii
View attachment 692495
Ila kila nikituma wananijibu hivi
View attachment 692496
Apa tatizo linaweza kuwa nini?
Simu zote za sumsung zina warranty na huo muda ukiwarudishia wanakupa nyingine but kwa namna ulivyoanza kuchokonoa itakukost.Habari za asubuhi,
Wakuu natumia Samsung galaxy S8 plus lakini Ijumaa ilipata tatizo ni baada ya kuizima jioni. Nilivyokuja kuiwasha ikawa inawaka alafu inaandika "installing system update" alafu inaleta maandishi madogo mengi then inajizima.
Nimejaribu kwa fundi wa kwanza imeshindikana. Nimejaribu kwa fundi wa 2 nae nahisi kashindwa wanasema inatakiwa kuflashiwa. Msaada, nimuonee nani simu ni mpya ina week 3. Nimeirekodi inavyofanya ila sijui jinsi ya ku-upload video hapa.