Samsung galaxy S8 plus imegoma kuwaka

Samsung galaxy S8 plus imegoma kuwaka

ina warranty? peleka samsung wakakutengenezee. ukiflash mwenyewe n kutrip knox umevunja warranty. kama haina warranty una box lake? unaijua model ya hio simu?

Kiongozi za kwako. Simu yangu nimeinstall antvirus aina ya AVG sasa nataka kuifuta lakini haifutiki. Msaada tafadhali.
 
Kiongozi za kwako. Simu yangu nimeinstall antvirus aina ya AVG sasa nataka kuifuta lakini haifutiki. Msaada tafadhali.
jaribu kwenda setting kisha security kisha device administrator. kama ipo hio avg huko na imeekewa tiki litoe hilo tiki na ujaribu tena kuitoa.
 
tengeneza mwenyewe.kata waya mmoja wa terminal za betri afu uunge tenaa jaribu kuwasha itawaka
 
hakikisha una salio kwenye simu kama 500 na sio kifurushi.

nenda kwenye sms andika

REG*IMEI NUMBER#

kisha tuma kwenda 15685

utajibiwa kama imesajiliwa ama la na watakata salio kama 150 au 250 hivi.

imei namba unaipata kwa kubonyeza *06# kama imei ni 123345688 basi msg yako itakuwa

REG*123345688#
Chief uko vizuri sana. Nakumbuka hii system ndo tulikua tukiangalizia km Samsung ni og ama siyo
 
Chief uko vizuri sana. Nakumbuka hii system ndo tulikua tukiangalizia km Samsung ni og ama siyo
ila inaweza ikakataa na ikawa ni original. hio system inaonesha kama hio samsung ni ya kwetu huku Africa ama la.

zile samsung za korea, marekani, china hazikubali hio system.
 
ila inaweza ikakataa na ikawa ni original. hio system inaonesha kama hio samsung ni ya kwetu huku Africa ama la.

zile samsung za korea, marekani, china hazikubali hio system.
chief_mkwawa kujua i phone og unafanyaje?
 
chief_mkwawa kujua i phone og unafanyaje?
sababu ios inatumiwa na iphone tu unajaribu tu kutumia service za Apple. vitu kama imessage, itunes, icloud, etc vikikataa hiyo ni fake, vikikubali ni org.
 
ila inaweza ikakataa na ikawa ni original. hio system inaonesha kama hio samsung ni ya kwetu huku Africa ama la.

zile samsung za korea, marekani, china hazikubali hio system.
Ebhana kumbe bado siyo kigezo msingi kujua km ni genuine au siyo....? Sasa ili ujue km Samsung ni og utafanyaje chief?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom