Samsung galaxy S8 plus imegoma kuwaka

Samsung galaxy S8 plus imegoma kuwaka

bjn01

Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
12
Reaction score
0
Habari za asubuhi,

Wakuu natumia Samsung galaxy S8 plus lakini Ijumaa ilipata tatizo ni baada ya kuizima jioni. Nilivyokuja kuiwasha ikawa inawaka alafu inaandika "installing system update" alafu inaleta maandishi madogo mengi then inajizima.

Nimejaribu kwa fundi wa kwanza imeshindikana. Nimejaribu kwa fundi wa 2 nae nahisi kashindwa wanasema inatakiwa kuflashiwa. Msaada, nimuonee nani simu ni mpya ina week 3. Nimeirekodi inavyofanya ila sijui jinsi ya ku-upload video hapa.
 
ina warranty? peleka samsung wakakutengenezee. ukiflash mwenyewe n kutrip knox umevunja warranty. kama haina warranty una box lake? unaijua model ya hio simu?
 
ina warranty? peleka samsung wakakutengenezee. ukiflash mwenyewe n kutrip knox umevunja warranty. kama haina warranty una box lake? unaijua model ya hio simu?
ndio ina box lake ila haina warranty.hiyo model naangalizia wap? cc:chif-mkwawa
 
angalia kwenye box, inatakiwa iwe ni model ya kimataifa ambayo ni G950F
naomba nikuangalizie kesho asubuh box la cm lipo ofisin,na mm nmeshatoka...hata hivyo nashukuru kwa msaada wako kaka yangu .
 
naomba nikuangalizie kesho asubuh box la cm lipo ofisin,na mm nmeshatoka...hata hivyo nashukuru kwa msaada wako kaka yangu .
sawa kama ni hio model nijulishe, tujaribu kuisajili na warranty.
 
Habari za asubuhi.wakuu natumia Samsung galaxy s8 plus lakin ijumaa ilipata tatizo ni baada ya kuizima jioni.
Nilivyokuja kuiwasha ikawa inawaka alafu inaandika "installing system up date" alafu inaleta mandishi madogo mengi then inajizima.
Nimejaribu kwa fundi wa kwanza imeshindikana. Nimejaribu kwa fundi wa 2 nae nahis kashindwa wanasema inatakiwa kuflashiwa....msaada nimuonee nani simu n mpya ina week 3.nimeirekodi inavyofanya ila sijui jinsi ya ku upload video hapa.
ni inbox
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom