Ingekuwa s8 ni mpya isingeuzwa laki 5.
A22 ina features Nzuri over s8 pia, kama Refresh rate kubwa 90/120Hz, inakaa na Chaji zaidi, itapata software updates za Baadae, etc.
Kama hutaki stress nunua A22 chukua Warranty uwe na Amani, s8 zitakuwa ni refurbished unless uwe unajua Unachofanya.
Then kwa simu used za Bei rahisi LG G8x ndio ina value zaidi kwa sasa kwa bei za chini ya Laki 4.