iokote JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 601 Reaction score 876 Apr 29, 2019 Thread starter #21 rogers_issaya said: Hio ni variant ya korea ussd code lazma zikatae, unaeza tafuta custom roms kam jamaa alivyo sema shida ni kwamba unatakiwa upate ambayo haina bugs ili isikusumbue Click to expand... Unaweza ukanisaidia kupata angalau moja mkuu
rogers_issaya said: Hio ni variant ya korea ussd code lazma zikatae, unaeza tafuta custom roms kam jamaa alivyo sema shida ni kwamba unatakiwa upate ambayo haina bugs ili isikusumbue Click to expand... Unaweza ukanisaidia kupata angalau moja mkuu
rogers_issaya Member Joined May 16, 2018 Posts 55 Reaction score 29 May 1, 2019 #22 iokote said: Unaweza ukanisaidia kupata angalau moja mkuu Click to expand... custom roms ina hitaji uwe na uzoefu wa rooting na flashing, umewahi fanya kati ya hivyo vitu mkuu?
iokote said: Unaweza ukanisaidia kupata angalau moja mkuu Click to expand... custom roms ina hitaji uwe na uzoefu wa rooting na flashing, umewahi fanya kati ya hivyo vitu mkuu?
iokote JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 601 Reaction score 876 May 1, 2019 Thread starter #23 rogers_issaya said: custom roms ina hitaji uwe na uzoefu wa rooting na flashing, umewahi fanya kati ya hivyo vitu mkuu? Click to expand... Sijawahi mkuu, nimeamua tu kuitumia kama ilivyo.
rogers_issaya said: custom roms ina hitaji uwe na uzoefu wa rooting na flashing, umewahi fanya kati ya hivyo vitu mkuu? Click to expand... Sijawahi mkuu, nimeamua tu kuitumia kama ilivyo.