Hizo simu zinakuwa zimetengenezwa kwa mitandao ya ulaya au amerika zinakuwa na tabu kidogo mara zingine hazisomi internet ila subili ma itApp nime download ila pia nikitaka kununua vifurushi nayo ni changamoto mkuu. Ndio maana yamenishinda na kuja humu.
Umejuaje ni US version?Ni US version mzee, vp niki root au ku flash nayo haitaweza saidia mkuu.
Model no mkuu ni ipi?Namba yake nime google mkuu na hata CPU-z nilivyokuwa natizama specs ikaandika us version.
Kuroot haitatui tatizo hilo, labda kubadili stock rom(kuiflash).Ni US version mzee, vp niki root au ku flash nayo haitaweza saidia mkuu.
unaweza weka custom rom maisha yakaenda vizuri 2 au kuna hizi note 5 za korea ambazo model zake zinaishia K/L/S huwa ukirudishia stock rom yake... ussd inafanya kazi vzr 2
K ni korean mkuu hiyo
Hapana mkuu haiweziAaahhh shukrani sana mkuu. Nikii flash vp inaweza piga kazi.
Maana *102# yenyewe inakubali.
Jaribu superman au any deodexed romCustom rom ipi mkuu.
Hio ni variant ya korea ussd code lazma zikatae, unaeza tafuta custom roms kam jamaa alivyo sema shida ni kwamba unatakiwa upate ambayo haina bugs ili isikusumbue