we ndo "smartphone freak" na sio
WAHEED SUDAY. kama screen size kubwa ni kila kitu iPhone ingekuwa haiuzi. sio kila mtu anapenda kuwa na 5" phones. angalia watu walivyoshabikia Z1 Compact. na pia ukumbuke Samsung na HTC hutengeza mini flagship devices. each and to his own preferences kaka