Huu ndio muonekano mpya wa Samsung Galaxy S 6 kama ambavyo wajanja wamei likisha mtandaoni na mwaka huu utaingia sokoni rasmi lakini inasubiriwa tu tarehe ya S5 kwanza ambayo ni February 24 mwaka huu ipite kwanza waone duniani wataipokeaje S5 kabla ya kushusha S 6
Samsung " Life Companion " !
Hiyo ni concept phone mtu kafanya modelling ya 3D kapachika kwenye net wala sio leak ya Samsung Galaxy S6 wala nini
Samsung hawa-operate hivyo. Hakuna simu ya samsung itakuja kutengenezwa yenye muonekano wa ovyo hivyo.
Naona Mzee una uhakika kama vile ni CEO wao mdogo ? Haaaaaah
Labda unipe shule kidogo kwani tatizo ni nini kama akitoka hiyo ya kwanza na kuja hii ya pili ? To me i think thats just a designing tu !
Wacha ubishi mwingi kaka... Samsung naijua vzr zaidi ya unavofikiria. Sio lazima uwe CEO wa Samsung kujua vitu vidogo kama hivi, hivi hata mlinzi wa getini tu anajua..Na hizi concept phones zimekuwepo miaka mingi tu, so its such a shame umeziona sasa hivi.. Em google "Samsung S6 leak" uone utakavopata link nyingi na kila link ina simu tofauti... Samsung doesn't work on a future brand S6 huku haijarelease S5, future wanayoangalia wao sana sana hua ni research kwenye displays na chips lakini sio kukaa na product designer kutengeneza mambo ya ajabu hayo..Naona Mzee una uhakika kama vile ni CEO wao mdogo ? Haaaaaah
Uongo mtupu, eti Android 6! Hakuna hata tetesi za android 6 wao samsung wameshajua itakuwepo, wapi na wapi au samsung ndo watatengeneza hiyo android 6, acha kwanza hiyo s5 ije tuone kaongeza nini kwa watumiaji ingawa nimesikia tetesi ina screen ya 5.24" ambapo mi si muumini wa screen kubwa kwangu ni disappointment kwa s5
Duh,sasa kmbe we wapenda screen size za aje?
Moja wapo ya preferences maarufu kwenye; smartphone ni pamoja na screensize kubwa,...
u seem not to be a smartphone freak,bali wapenda Vi-apps tu na touch!