black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
Aya mkuu kwanza nko aggrey.....nakuja hapo
Kwakweli ka tamthilia nasubiri watuletee marejeshoTucheke wote![]()
![]()
![]()
Mrs Van
Weka namba yako hadharani kama mimi kama wewe sio tapeli..Aya mkuu kwanza nko aggrey.....nakuja hapo
Namba yangu si unayo??
Mimi sio tapeli wewe ndio tapeli niambie upo duka lipi aggrey nije huwezi niendesha kama bwege
Aggrey naijua sasa afu sijawahi weka mawasiliano hadharani namba yangu unayo usitake niendesha......afu am the one to decide where to meet Maana usijeleta vibaka.Sasa duka lipi nikujibuje.. niseme duka la nne kushoto?!. Weka namba hadharani nikupigie.. na wewe ukifika kariakoo mtaa wa aggrey nipigie nikufate ulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anayeishi illegally hawezi weka namba yake hadharani.. only innocent one can.. mchana huu nikuletee watu kwani umenikosea nini?.. si unadai mimi ndio nimekuibia?.. njoo nikurudishie nilichokuibia hapa city centre kaka..Aggrey naijua sasa afu sijawahi weka mawasiliano hadharani namba yangu unayo usitake niendesha......afu am the one to decide where to meet Maana usijeleta vibaka.
Kwa usalama wangu.
Mkionana Njoo utupe marejesho humu hehehe
Ngoja tuonenyie watu mnanichekesha ha ha msiende kupigana tu huko
Inawezekana hiyo simu ni feki,lakini Sio kwa Sababu uliyoisema ya original kuwa na vitundu vitatu.S6 Ina vitundu 2 kama hiyo.Labda uthibitishe kidogo.Ha ha pole sana mkuu, kweli hii sim ni feki pale juu kushoto original ina vitundu vitatu nashangaa hii ina viwili. wanunuaji kua macho.
Huyu jamaa akija kweli wana nitawapa mrejesho.. ila nina uhakika wa asilimia 100 hawezi kuja.. ila najua wapi na vipi nitamkamata.. time will tell.Polisi jirani hapo msimbazi ......
Si tunasubiri tuone nani mkwelu nani muongo
Ova
Tupe mrejesho mkuu saa nane ndiyo hii