Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Mrejesho pleeeez w hii episode
Bado yupo geto kalala akisubiria mjinga mwingine wa kumpiga copy ya s6 edge..Tupe mrejesho mkuu saa nane ndiyo hii
Kaka usinichafulie jina asee Mimi sio mpigaji.Bado yupo geto kalala akisubiria mjinga mwingine wa kumpiga copy ya s6 edge..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sa mbona huji kaka?!.. umepotea kariako!..Kaka usinichafulie jina asee Mimi sio mpigaji.
Najua wapi ntakupata we tapeli afu unatumia umri wangu kutaka nikandamiza Hilo halipo.Huyu jamaa akija kweli wana nitawapa mrejesho.. ila nina uhakika wa asilimia 100 hawezi kuja.. ila najua wapi na vipi nitamkamata.. time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi potea kariakoo ufala wa kuja kuonana na wewe afu sina back up sifanyi.
Kaka basi njoo tukutane hapa msimbazi kituo cha polisi.. tena njoo na wana tuyamalize kama uko innocent kweli..Najua wapi ntakupata we tapeli afu unatumia umri wangu kutaka nikandamiza Hilo halipo.
Backup ya nini tena kaka?!.. basi njoo nirudishie tu simu yangu unayosema haisomi mnara.. pesa nikusamehe.. najua ushazitafuna zimekwisha..Siwezi potea kariakoo ufala wa kuja kuonana na wewe afu sina back up sifanyi.
Simu yako haisomi mnara ulijua nikienda reset haiweza fanya Kazi huo UTAPELI.Backup ya nini tena kaka?!.. basi njoo nirudishie tu simu yangu unayosema haisomi mnara.. pesa nikusamehe.. najua ushazitafuna zimekwisha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri huo mda si mrefu nipoteze bikra afu na wewe utapoteza vyote Maana unanichukulia Dogo unakuja na kauli za kihuni.Naona dogo ile milioni uliyoniuzia iphone 7 fake ishakwisha sasa umekuja na kopi nyingine ya s6 edge.. ndo maisha uliyochagua hayo ya utapeli.. muda si mrefu utapoteza bikira wewe.. nitakutia mikononi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tapeli akishakutapeli anakukwepa kama ufanyavyo wewe.. kama nimekutapeli mimi.. njoo nikurudishie haki yako.. njoo hata na wana nipo kariakoo tukutane tuyamalize!!..Simu yako haisomi mnara ulijua nikienda reset haiweza fanya Kazi huo UTAPELI.
Malipo yenyewe hayakukamilika udhulumaji huo
Simu nimekupa yenyewe unakuja sema fake hadi imei unayo.
Unasema umenipa m1.4 udanganyifu huo.
Nasubiri unikamate nipoteze bikra afu tuanzie hapo!!!Tapeli akishakutapeli anakukwepa kama ufanyavyo wewe.. kama nimekutapeli mimi.. njoo nikurudishie haki yako.. njoo hata na wana nipo kariakoo tukutane tuyamalize!!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo leo huji?!..Nasubiri huo mda si mrefu nipoteze bikra afu na wewe utapoteza vyote Maana unanichukulia Dogo unakuja na kauli za kihuni.
Afu usiniharibie biashara ndo inaniingizia pesa kama wewe unavouza vitu sijawahi sema fake.
hajatokea? mrejesho muhimu black chinese.
'Mda si mrefu nitapoteza bikira' haya maneno yako yanakuweka pabaya.Naona dogo ile milioni uliyoniuzia iphone 7 fake ishakwisha sasa umekuja na kopi nyingine ya s6 edge.. ndo maisha uliyochagua hayo ya utapeli.. muda si mrefu utapoteza bikira wewe.. nitakutia mikononi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe copy unazijua wewe???