Samsung Galaxy S6 and S6 Edge, ipi nzuri zaidi

Samsung Galaxy S6 and S6 Edge, ipi nzuri zaidi

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,326
Reaction score
7,807
Wakuu habari zenu,

Nataka kununua simu moja kati ya hizo tajwa hapo juu, ila sijajua tofauti yake hasa ni nini na ipi ni bora zaidi. Wajuvi wa mambo msaada.

Au kama kuna simu kali zaidi ambayo naweza pata kwa bajeti ya 600,000 na kushuka chini msaada wa mawazo.
 
[HASHTAG]#chief-mkwawa[/HASHTAG] upo kaka, pita hapa
 
Ushauri wangu kama ungeweza, tafuta S7 kwa laki 6 unaweza pata. S6 ni nzuri lakini hazikai na charge.

Na kwa upande wa tofauti- S6 na S6 edge zote ni simu moja kwa maana kila kitu ndani kipo sawa tofauti tu ni s6 kioo ni flat, wakati kwenye s6 edge kioo kawa kimejipinda (curved).
 
hakuna utofauti mkuu baina ya s6 na s6 edge zaidi ya huo mkunjo.

pia kwa hio budget note 5 au s6 edge plus ni nzuri zaidi, utapata battery zaidi na ram zaidi.
 
hakuna utofauti mkuu baina ya s6 na s6 edge zaidi ya huo mkunjo.

pia kwa hio budget note 5 au s6 edge plus ni nzuri zaidi, utapata battery zaidi na ram zaidi.

Shukrani mkuu, nimeamua kuachana na S6, ngoja nizicheki hizo. Wapi naweza pata kwa bajeti hiyo kitu genuine maana vyuma hivi magumashi mengi.
 
Bora ufate ushauri wa aliyesema s7 .s6 utategema internal memory ya simu tu kama una vitu vingi utajibana.
 
Kwa ajili ya Usalama Chukua S7 ila kama upo mazingira Mazuri ambayo hayawezi ku risk simu yako its better ukachukua S6 edge Plus ina betri 3000mah sawa na S7
 
Back
Top Bottom