galaxy s3 itapata android 4.3 na itapata android 4.4 kitkat, s3 itapata feature za s4 kama air gesture zitazOkuwezesha kutumia mambo kadhaa kwenye simu bila kugusa kioo.
s3 kuna watu karibia milion 100 wanayo hivyo hupati shida kuhusu support kila kitu unachotaka kufanya wenzako walishafanya hivyo mambo yanakua rahisi.
htc wana sifa ya kutoupdate simu zao mfano htc one s iliachwa kwenye mataa kwenye jelly bean 4.2 wakati ina sifa za kutosha tu, hata hio one x possible isipate hio 4.3 na kitkat. labda uwe mtu wa kuroot na kucheza na custom rom.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.