FUJISTU
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 261
- 93
1. screen
galaxy s2 ina screen kubwa kuliko mini kama unapenda screen kubwa s2 ni yako kama unapenda ya kawaida mini ni yako. lakini tukija quality ya screen mini ni kubwa sababu screen zote zina resolution sawa
2. kwenda na wakati
mkuu mini ina jely bean wakati s2 ina gingerbread na unaweza ku update hadi ice cream sandwitch
3.upya na uzamani
mkuu mini ni mpya na s2 ni yazamani always mpya ina advantage
mi nakushauri go for mini
mkuu S2 inaweza kuwa upgraded to v4.1 Jellybean aisee