neverthatserious Senior Member Joined Jun 1, 2012 Posts 106 Reaction score 13 Jul 27, 2013 #1 habari wana jf,nimeipenda sana hii simu na ningependa niwe nayo...ila nahofia kununua kitu fake naomba yeyote anayefahamu maduka ambayo naweza kupata simu original nipo Dar,natanguliza shukuran
habari wana jf,nimeipenda sana hii simu na ningependa niwe nayo...ila nahofia kununua kitu fake naomba yeyote anayefahamu maduka ambayo naweza kupata simu original nipo Dar,natanguliza shukuran
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 601 Jul 27, 2013 #2 Nenda Mlimani City
neverthatserious Senior Member Joined Jun 1, 2012 Posts 106 Reaction score 13 Jul 27, 2013 Thread starter #3 itakua kama ngapi mkuu...
zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Jul 27, 2013 #4 ipo galaxy s3 GT-I9300 original imetumika miezi2 ipo kwenye hari nzuri aina tatizo bei 770,000 karibu sana
ipo galaxy s3 GT-I9300 original imetumika miezi2 ipo kwenye hari nzuri aina tatizo bei 770,000 karibu sana
neverthatserious Senior Member Joined Jun 1, 2012 Posts 106 Reaction score 13 Jul 27, 2013 Thread starter #5 ningepata bei kamil ya mini ingekua vyema sana
amranline JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 210 Reaction score 95 Jul 27, 2013 #6 ipo s3 mini full box going for only 500,000/=tshs my namba..0773 004348/0712 888 884
moudyjr Senior Member Joined May 28, 2013 Posts 175 Reaction score 37 Jul 27, 2013 #7 Pia ipo ya 450,000/ haijatumika namaanisha brand new. karibu sana nipo samora na morogoro road jirani na ppf house
Pia ipo ya 450,000/ haijatumika namaanisha brand new. karibu sana nipo samora na morogoro road jirani na ppf house
KRISTIAN P JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 359 Reaction score 69 Jul 28, 2013 #8 Ipo galaxy s3 imetumika wiki 3 naiuza kwa laki 6 cash rangi ni nyeupe gb16