Samsung Galaxy s3 Internet Problem (Tatizo la internet kwa Samsung Galaxy s3)

Samsung Galaxy s3 Internet Problem (Tatizo la internet kwa Samsung Galaxy s3)

chwechinyong

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
223
Reaction score
105
Habari wakuu,

Naomba msaada kwa yeyote anaejua jinsi ya kuondokana na tatizo hili. Ni Samsung s3 inapiga na kupokea simu, inatuma na kupokea messages na everything kipo fine isipokuwa internet tu ndo imegoma na ni kwa line zote za TZ. Mwenye msaada tafadhali.

Natanguliza shukran
 
ukimaliza kutengeeza vpn nenda kwenye setting then wireless & network then mobile network activate data network after that bro enjoy the world
 
Hapana bado mkuu kejof2. Naweza pata details zaidi za apn, ip, dns na mambo mengineyo? Thanks
 
Last edited by a moderator:
Thanks mkuu Kobe. Ngoja nifanye hayo mambo. Ila kwa airtel wanatumia apn gani?
 
Last edited by a moderator:
Wewe andika hata internet tuu kwenye apn za mitandao yote inakubali
 
Back
Top Bottom