2.900,000Tsh
Mkuu una 13 pro sio? Na sio 13 pro max?Wale wazee wa flagship kama bado unajishauri naomba nikushauri ipi ya kuchukua kati ya hizi mbili bora uende Samsung.
Nilinunua S21 ultra february nikachukua iphone 13 pro niliipata tarehe 5 october baada ya matumizi na reviews mbalimbali Samsung S21 ultra imeonekana better than iphone 13 pro ktk muktadha wa..
Camera
Battery life
Super display
Mengine wadau wataongezea.
Ndio 13 pro max inakaa na charge kuliko flagship yoyote ya 2021, sababu sd 888 kwenye Android ni mbovu kwenye suala zima la ukaaji chaji.Naona hapa ni kwa rich niggaz, sema kuhusu charge nimeona battery test 13 Pro max wanaiita battery Monster inakaa kuliko s21, source #MrwhosetheBoss... wanaojua ukweli halisia ni mnaotumia maana ile ni YouTube na mm i have none of those, so...yeah
Ndio 13 pro max inakaa na charge kuliko flagship yoyote ya 2021, sababu sd 888 kwenye Android ni mbovu kwenye suala zima la ukaaji chaji.
Ila kwa flagship za mwaka ama midrange bado Simu za Android zipo vizuri.
kwa 120hz hairidhishi ila kwa 60hz inakaa na charge kiasi chake.Hivi Note 20 ultra vip kwa chaji inaridhisha ama...tukisemea 2021 flagship level
Mkuu nimejaribu mimi mwenyeww nimejionea kwa iphone ukitoa 120hz ndo inalast longer but ukiiweka ni sawa tu na samsung...Ndio 13 pro max inakaa na charge kuliko flagship yoyote ya 2021, sababu sd 888 kwenye Android ni mbovu kwenye suala zima la ukaaji chaji.
Ila kwa flagship za mwaka ama midrange bado Simu za Android zipo vizuri.
Kwa hiyo wewe unatumia simu kwa ajili ya kujipiga selfies tu, una miaka mingapi kwani? Tuanzie hapo.Wale wazee wa flagship kama bado unajishauri naomba nikushauri ipi ya kuchukua kati ya hizi mbili bora uende Samsung.
Nilinunua S21 ultra february nikachukua iphone 13 pro niliipata tarehe 5 october baada ya matumizi na reviews mbalimbali Samsung S21 ultra imeonekana better than iphone 13 pro ktk muktadha wa..
Camera
Battery life
Super display
Mengine wadau wataongezea.
Mkuu kumbe hizi refresh rate una option ya kutoa kutoka 120 kwenda 60Mkuu nimejaribu mimi mwenyeww nimejionea kwa iphone ukitoa 120hz ndo inalast longer but ukiiweka ni sawa tu na samsung...
Hata Samsung ukitoa option ya 120 ukaweka 60hz utainjoi mno na chaji
Camera ipi ya Samsung sio bora kama iphone?Mkuu rudia utafiti wako. ishu ya battery life ni matumizi yako.
Camera ya samsung inafanya color inhancement lakini sio bora kuzidi iphone. Upande wa display hata mimi samsung nawakubali sana.