samsung galaxy s duos for sale

samsung galaxy s duos for sale

FRGR

Senior Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
126
Reaction score
56
Jamani simu haijatumika sana..ina vifaa vyake..ni simu galaxy yenye screen kubwa na line mbili..anayehitaji anicheki kupitia 0713 190 118
 
Ulivyosema line mbili tu ndo umechaafua hali ya hewa!
 
Mbona samsung double line ziko poa tu... Acheni woga bhana.... Mi natumia duos kwa miaka mi2 sasa na haijawahi nisumbua.
 
Jamani simu haijatumika sana..ina vifaa vyake..ni simu galaxy yenye screen kubwa na line mbili..anayehitaji anicheki kupitia 0713 190 118

Weka picha na bei
 
Sidhani kama Samsung walishatoa SIM YA line mbini nimepata wasiwasi na uwezo wa hyo SIM, labda kwa ukubwa wa umbo NI kubwa bt ndani sasa mmmmh
 
inaonesha ni jinsi gani upo mbali na samsung maana mchina alipotoa tu line mbili na kupata soko sana Samsung naye akatoa za kwake zenye line mbili na ubora wa hali ya juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom