Niajeee wadau..Ebhana ninatumia simu ya galaxy S advance ila daah saivi naona inanipa kero mnoo..Iko very Slow.kila mda ina stuck.Mwanzon nilidhani labda ni application nyingi nilizonazo ila nime unistall zkaribia zoote tatizo liko palepale, naomba msaada wenu wadau maana mpaka saivi sijui niifanyeje,inaninyima raha sana.