Msaada tatizo la sauti kwenye samsung galaxy s 4

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
nina binamu yangu ukimpigia simu yeye anakusikia ila yeye akiongea umsikii simu yake ni hiyo samsung galaxy s 4.

je tatizo liko wap?
 
yeye anakusikia- speaker yake nzima na mic yako nzima

yeye akiongea humsikii - either mic yake mbovu au speaker zako mbovu.

kama wewe ukipigiwa na watu wengine unawasikia basi ina maana mic yake mbovu
 
yani kila mtu akimpigia hawamsikii ila yeye anawasikia
 
Back
Top Bottom