Samsung galaxy pocket GT-S5300

Samsung galaxy pocket GT-S5300

AK47 TRIGER

Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
57
Reaction score
9
Hii simu inasumbua kwa upande wa battry na pia kila baada ya masaa mawili lazima uizime ili internet ifanye kazi

Kuna mtu amesha sikia jinsi ya kuondoa hilo tatizo la internet kutofanya kazi kila baada ya masaa mawili
 
Kumbe tupo wengi!! Ila mim internet ipo fresh unless maybe when natumia zantel bt otherwise Airtel mpango mzima
 
jaribu kubadili betri kwani betri za sikuhizi siyo nzuri sana km hutumii charger nitatizo pia wengi wanatumia charger inayo itwa kobe siyo nzuri kwa maisha ya betri yako km bado una tatizo julisha
 
Mi, hii cmu kwangu, iko poa nilikua nayo,ya kwanza ikaibiwa ,then now nina ya pili bt iko oky, natumia line ya voda (HSPDA ,3G)network, na nadhani akikisha apn umeset internet,cyo wap,kama ambzo zinakua default,bynetwork provider #EnjoyUrGPocket
 
Location huko wapi, may be network provider,unayotumia jaribu kuweka,laini ya mtandao mwingine ,ucheky itakuej
 
AK47 TRIGER pole na tatizo lako la internet kuji off mara kwa mara. Labda jaribu kucheck mwenzako mwenye tatizo na galaxy s 2 kama ushauri aliopewa unaweza kukusaidia. Kama utakavyosoma hapa nakushauri usipende kuzima simu kwa kuwa kurestart kuna consume sana betri. Wewe nenda kwenye profiles chagua flight mode utakata connections zote then ukirudisha profile ya mwanzo na internet itarudi.
 
Last edited by a moderator:
ingia kwenye settings click (wireless network) halafu click kwenye mobile networks(ipo chini kabixa) halafa xaxa set (piga tiki) hapo kwenye use paket data na kwenye data roaming.
 
Thanks kwa ushauri wenu lakini bado sahivi hadi message haitumi
 
simu zote za android ndogo ni vimeo if u realy like android jitahidi hata laki 3 utafte simu kama samsung galaxy s au flagship ya zamani utaenjoy.

Narecomend flagship ya zamani kwa sababu hizo simu zilitengenezwa ziuzwe mamilion ya hela then sasa hv zimetoka flagship mpya then hela inashuka ili kumaliza stock.
 
Dah kumbe tupo wengi..mimi ndo hii natumia nimeweka laini ya Tigo,sipati data flow nzuri huwa ina kwama hadi ni restart simu,ila kuna mshkaji nipo nae yeye anasimu kama yangu huwa anatumia voda na huwa haimsumbui kabisa,bado najiuliza tatizo ni simu ama ISP!
 
Nina samsung galaxy S 3 lakini nayo inamatatizo mengi zaidi
 
ishu ya network ni kwamba android huwez chagua utumie 3g tu ama edge tu (sijui kama kuna apps ya kusolve hilo), hili inafanya signal za 3g zikishuka simu kutumia edge ambayo ipo slow.

Hapa inabidi uende network ukasearch manual uchague 3g
 
ishu ya network ni kwamba android huwez chagua utumie 3g tu ama edge tu (sijui kama kuna apps ya kusolve hilo), hili inafanya signal za 3g zikishuka simu kutumia edge ambayo ipo slow.

Hapa inabidi uende network ukasearch manual uchague 3g

unaweza kwa kubonyeza *#*#4636*#*# .NA press Phone info --unashuka hadi set preferred network typeuchagua Wcdma only-itakaa 3g 24/7 au GSM only -itakaa edge 24/7.. ukiwana cyanogenmod rom hi option ipo kwenye mobile network settings
 
Back
Top Bottom