Samsung Galaxy Note 4 restarting issue...

Samsung Galaxy Note 4 restarting issue...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakuu,
Hii simu imenianzia hili tatizo ambalo natamani hata niipasue. Yaan kila mara sinabudi kufanya factory reset. Naomba msaada wakuu..
NB:
Tecno camon x ipo vizuri? Nataka nihamie uko wakuu au huawei
 
Mmmh waumini wa sumsung nyie pia mnalia ? Si mnasema hizi ni bora sana kuliko michina
 
Wakuu,
Hii simu imenianzia hili tatizo ambalo natamani hata niipasue. Yaan kila mara sinabudi kufanya factory reset. Naomba msaada wakuu..
NB:
Tecno camon x ipo vizuri? Nataka nihamie uko wakuu au huawei
Note 4 inazingua sana...mi imefika muda imebidi niiache tu ndani!
 
Nunua simu updated uendane na kasi ya software zao. Hapo kuna vitu vime expire tayari
 
Jamani mi naupdate whatsapp gb yangu inakataa mwenye kujua tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom