lucious_lyon
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 246
- 290
A
Hivi hizi simu note 4 mbona matoleo yake yashaisha madukani wewe unazipatia wapi? Mana kiwandani hawaproduce tena. Tena nilikua nauliza note 5 nikaambiwa hazitoki tena hata madukani hamna
NOTE 4 NOTE 5 ZIPO. Maduka mangap ulizunguka ukaambiwa hivyo/ mkoa gani?Hivi hizi simu note 4 mbona matoleo yake yashaisha madukani wewe unazipatia wapi? Mana kiwandani hawaproduce tena. Tena nilikua nauliza note 5 nikaambiwa hazitoki tena hata madukani hamna
Hivi hizi simu note 4 mbona matoleo yake yashaisha madukani wewe unazipatia wapi? Mana kiwandani hawaproduce tena. Tena nilikua nauliza note 5 nikaambiwa hazitoki tena hata madukani hamna
NOTE 4 NOTE 5 ZIPO. Maduka mangap ulizunguka ukaambiwa hivyo/ mkoa gani?
Rubii afadhali umenisaidia, wabongo tunapigwa sana kwa kutokujua full information kuhusu kitu fulani. Sasa jamaa ananilazimisha eti we nunua badala ya kujibu swali. Wenzetu mawakala nnchi za wenzetu wanakuambia kabisa hazitengenezwi tena. Sasa muuzaji atuambie hiyo yake ni ya nchi gani au used kaivisha cover mpya?Ni kweli mkuu Maduka ya mawakala halali wa Samsung hizi simu hazipatikani na hata ukipata hutaipata kwa hiyo laki 4
Bongo hakuna kiwanda cha simu hizo, toleo hilo hakuna labda used mkuu. Uliza wanakotengenezaNOTE 4 NOTE 5 ZIPO. Maduka mangap ulizunguka ukaambiwa hivyo/ mkoa gani?
Rubii afadhali umenisaidia, wabongo tunapigwa sana kwa kutokujua full information kuhusu kitu fulani. Sasa jamaa ananilazimisha eti we nunua badala ya kujibu swali. Wenzetu mawakala nnchi za wenzetu wanakuambia kabisa hazitengenezwi tena. Sasa muuzaji atuambie hiyo yake ni ya nchi gani au used kaivisha cover mpya?
Mkuu used ni zaidi ya kilo 7, ndio mana nimeshangaa mpya kuwa kilo 4.Samsung Note 3 nilinunua 1.2m nashangaa Leo note 4 iwe that cheap
KoreaUnazouza ni toleo la nchi gani mkuu
A series ndo mbadala wa NOTE series lakini haimaanishi kama kwenye maduka ya samsung/wakala hazipo na kiwandani hazitoki basi maduka mengine waliochukua mzigo mwingi wasiuze labda kampuni iseme zina tatizo zisiuzwe.Rubii afadhali umenisaidia, wabongo tunapigwa sana kwa kutokujua full information kuhusu kitu fulani. Sasa jamaa ananilazimisha eti we nunua badala ya kujibu swali. Wenzetu mawakala nnchi za wenzetu wanakuambia kabisa hazitengenezwi tena. Sasa muuzaji atuambie hiyo yake ni ya nchi gani au used kaivisha cover mpya?
Inategemea na mwaka ulionunua mkuu, A3 ya 2016 ilivotoka iliuzwa 750000/= lakini saa ivi inauzwa 450000/= usishangae 2018 ikauzwa 300000/=Samsung Note 3 nilinunua 1.2m nashangaa Leo note 4 iwe that cheap
Mkuu mbona hata Note 3 zipo madukani bado... and So far Note 3 ni brand bora sana ya Samsung..Hivi hizi simu note 4 mbona matoleo yake yashaisha madukani wewe unazipatia wapi? Mana kiwandani hawaproduce tena. Tena nilikua nauliza note 5 nikaambiwa hazitoki tena hata madukani hamna
A series ndo mbadala wa NOTE series lakini haimaanishi kama kwenye maduka ya samsung/wakala hazipo na kiwandani hazitoki basi maduka mengine waliochukua mzigo mwingi wasiuze labda kampuni iseme zina tatizo zisiuzwe.
Jinsi ninavyojua huwa zinarudishwa kwa mawakala then kiwandani lakini madukani hutazikuta zikiuzwa labda usedA series ndo mbadala wa NOTE series lakini haimaanishi kama kwenye maduka ya samsung/wakala hazipo na kiwandani hazitoki basi maduka mengine waliochukua mzigo mwingi wasiuze labda kampuni iseme zina tatizo zisiuzwe.