Samsung galaxy J1

Samsung galaxy J1

nessonlegend

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
1,698
Reaction score
1,513
Wanajamii habari zenu!!

Naombeni msaada mahali napoweza kupata Display na touch (complete) ya galaxy j1 kwa bei nafuu maana mwezi uliopita nilikuwa Mbeya nikauliza nikabiwa 145, nikaona isiwe tabu ngoja niichimbie ndani tu. Sasa kwa hapa dar naweza ipata wapi wandugu?
 
Nenda kariakoo mtaa wa simu zimejaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom