SAMSUNG galaxy A36

KWA AJILI YA KUPIGA TU NA KUPOKEA HIYO HAPANA, MCHUKULIE HATA S23 ultra BIMKUBWA ACHA UBAHILI.
 
Sasa mzee, kama ishu n kupiga na kupokea simu Kwann ununue hy simu tena kwa mtu mwenye miaka 60+ au unataka awe anaji snap?
 
Samsung unadumbukiza IMEI hapa

Hakikisha unafanya hiyo KAZI kabla hujanunua, inaweza kuwa Samsung OG Ila haijatengenezwa kwa ajili ya kuuzwa Africa ukinunua utapoteza warranty nzuri inayohusisha Hadi kutengeneza kioo akipasua.

Bei ya A36 ni roughly around laki 7 inaweza shuka ama kupanda kidogo.
 
Kwa comments za humu nimeamini kweli wengi wa wana JF ni choka mbaya, wana stress za maisha, eeh Mungu ahsante kwa hiki kidogo ulichonijaalia🤲🙏
 
Mrejesho nimenunua hii simu ila sidhani kama ana fell kama mimi ninvyo feel Samsung wana Safari ndefu sana sijaona utofauti mkubwa na akina Infinix ngoja nijipange nimchukulie iPhone tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…